Hawa ni warembo woote walioshiriki shindano la kumtafura Miss KINONDON wakiwa nadhifu kujinadi kwa wageni waliohudhuria mtanange huo uliofanyika jana kwenye ukumbi wa MLIMANI CITY jijini DAR.
Mrembo ALICE LUSHIKU 'katikati', ndiye aliyeibuka kidedea katika mtanange huo na kutawazwa kuwa mrembo mpya wa KINONDONI mwaka huu...
Nao TWANGA PEPETA kama kawa walikuwepo kufanya makamuzi yakinifu yaliyowapawisha wengi kwenye shindano hilo jana.
No comments:
Post a Comment