Sunday, July 4, 2010

JAMANI HUU UJANJA UJANJA MPAKA LINI HASAA...


Ama kweli nimeamini hii nchi yenu ina wajanja! Ni jana 2 Rais KIKWETE amezindua mradi wa maji wa Mugumu uko wilayani Serengeti mkoani MARA, sasa kumbe hilo eneo la mradi huo wa maji lina mgogoro na tena upo mahakamani kutokana na wale wamiliki halali wa eneo hilo waliohamishwa hawakulipwa pesa zao stahiki kama fidia za kuhamishwa na matokeo yake wamefungua kesi mahakamani! Sasa jamani yaani mpaka Rais wetu mmempiga mchanga wa macho wa kumwomba aje kufungua mradi ulio na mgogoro mahakamani jamani? Ama kweli TANZANIA oyeeeeeee....

No comments:

Website counter