Yule OMBAOMBA maarufu nchini Mr ANTONY MATONYA ameshaingia jijini Dar akitokea mkoni Morogoro alikokuwa uko tangu mwaka jana, kwaiyo ukipitapita pale maeneo ya Mnazi Mmoja unaweza kumwona katika style yake maarufu ya kulala chali na kuweka Kopo lake juu na huwa anajua milio yoote ya 'Coins' kiasi kwamba ukitumbukiza anakwambia 'asante baba kwa kunipa mia, mungu akujaalie eeh'...
No comments:
Post a Comment