Sunday, July 18, 2010

DK MANYAUNYAU AKIWA KAZINI JANA...


DK MANYAUNYAU akinyonya damu ya paka huku akitafuta wachawi waliojificha! Nilishamuulizaga kwanini umechagua kunywa damu ya PAKA na sio mbuzi au sungura, akaniambia damu wa Paka inamsaidia kuwa 'Ngangari' na kumpandisha 'Munkari' wa kufanya kazi yake, upo apoo...

No comments:

Website counter