
Lile soo la kufungiwa Leseni yake kwa mwaka mzima ya kuendesha Gari bado linamuathiri mshambuliaji hatari wa Blackburn Rovers ya UWINGEREZA msenegali ELHADJI DIOF, nahivi sasa imekuwa ni kawaida kwake kudandia Lift za washkaji zake au wakati mwingine kula kitaa kwa miguu kama anavyoonekana pichani. Mshambuliaji huyo atakuwa na mawazo sana haswa anapoyakumbuka magari yake ya kifahari kibao aliyonayo nyumbani kwake, ebu tazama izo picha za chini uone Ndinga zake kali na za kusisimua alizonazo...
No comments:
Post a Comment