www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Sunday, June 27, 2010
WAGHANA NA WAAFRICA WALIVYOSHEHEREKEA USHINDI JANA APA LONDON...
Yaani kilaki2 kiliwekwa Rangi au Bendera ya GHANA jana, Hongera kwa waghana na AFRICA NZIMA KWA UJUMLA... Kila mwafrica alisheherekea kwa jinsi anavyojua bila kuvunja sheria
Ilikuwa ni patashika baada ya filimbi ya mwisho kushiria GHANA wameingia robo fainali na kuweka Historia tangu ilivyofanya Cameroon kwa mara ya mwisho...
No comments:
Post a Comment