MSIONE KIMYA WADAU NILIKUWA SAFARINI KURUDI LONDON JANA...
Hapa ni baada ya kuoga na kupumzika ndipo nikaamua kutoka nje kupeleka zawadi za watu mitaa ya kati maana wabongo wakisikia m2 anaondoka kwa kutuma haooo...Hapa ni baada ya kufika LONDON, naelekea kwangu kupumzika kutokana na uchovu
3 comments:
pole na safari, tuonyeshe basi hata km una mpz Benny mbn unabana kiasi hicho????
Usijali utamuona 2 muda ukiwadia! Ben.
jamani....me nakupenda wewe!!!
Post a Comment