Wednesday, June 16, 2010

MAKAMUZI YA TWANGA PEPETA JUZI...


Hawa ni wale wanenguaji wawili walioibwa na Twanga Pepeta kutoka FM ACADEMIA, wa upande wa kushoto anaitwa ASHA SHARAPOVA na SABRINA MONDELE kulia.

Nikifuatilia kwa makini onesho ilo ili kuhakikisha kilakitu kinakwenda sawa...

No comments:

Website counter