Sunday, June 13, 2010

MACHO YETU LEO KWA GHANA JAMANI...

Timu ya taifa ya GHANA 'Black Star' inayoongozwa na Nahodha mkongwe Stephen Appiah muda mchache ujao inaingia uwanjani kujaribu kututoa kimasomaso Waaafrica ktk michuano ya kombe la Duni inayoendelea uko nchini Africa ya Kusini, iyo waafrica wenzangu tuendelee kuwa na uzalendo kwa kuishangilia kwa nguvu Ghana na timu zingine za Afica zinazoshiriki michuano hiyo mikubwa Duniani...

No comments:

Website counter