www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Saturday, June 19, 2010
AISHA MADINDA akiwaongoza wanenguaji wenzake kupagawisha wapenzi waTwanga Pepeta waliohudhuria onesho hilo la jana usiku...
Hapa nikiwa rafiki zangu, kushoto ni GILBUT LIPUMBA na kulia ni Mshambuliaji wa zamani wa SIMBA na TAIFA STARZ anaecheza soka la kulipwa nchini Denmark MIKE CHUMA tukifuatilia onesho hilo...
Yaani ilikuwa ni Showbiz ya kufa m2 jana....
Nikiwa na MIKE CHUMA tukishoo love kwa KINYAIYAS BLOG...
MANDELA SURAMBAYA kushoto, akiwaongoza wanenguaji wa kiume kwa makamuzi ya nguvu stejini, ilikuwa Hataariiiii nakwambia....
1 comment:
kamua kaka kamua.
Post a Comment