Saturday, August 20, 2011

NILIPOALIKWA NYAMA CHOMA SASA....


Hapa nikiwa kwenye NYAMA CHOMA maeneo ya MILTON KEYNES ambao ni umbali wa lisaa limoja kutoka apa South London nilipo sasaivi, maana huku ULAYA kwasasa bado ni Summer ingawa ndio inaishia ishia tena, na nilikuwa mpishi kwa kuchoma kuanzia Kuku, Mbuzi na ya Ng'ombe yenyewe, ilikuwa balaa nakwambia...

Hapa nikiwa na MARIAM LASEKKO 'mwana Tanga', ambaye alikuwa ni mmoja kati ya Waandazi wa Shughuli iyo ya NYAMA CHOMA...

No comments:

Website counter