Thursday, August 25, 2011

NASEMA 'UNYAMA' HUU HAUKUBALIKI BANAA...


Baadhi ya wananchi wa eneo la Mto Mabatini njini Mbeya waliokusanyika kushuhudia mwili wa Kichanga icho kilichotupwa ndani ya mto Juzi asubuhi...

Oooh masikini maiti ya Kichanga icho kizuri kilichotupwa ikiwa inaelea majini huku kikiwa kimeshakufa! Hivi ni kwanini MCHEZO umeutaka mwenyewe mpaka umekipata icho Kiumbe na umekihifadhi 'TUMBONI' mwako kwa miezi 9 alafu eti mwisho wa siku unakuja kumtupa! Je na Mamako nae angekufanyia hivyo ungekuwepo Duniani leo hii kuringia huo weupe wako wa 'CAROLITE' na Mikucha kama JINI? Au hujui wenzako wanashinda kwa 'WAGANGA' kilasiku kuomba japo MIBA hewa lakini hawazipati, Haki ya mungu nawatukana sasa, nyie ni Wase .... wasengenyaji sana kwa wenzenu...

Polisi wakichukua mwili wa Kichanga hicho kwenda kuzika daaah...

No comments:

Website counter