Thursday, August 25, 2011

JAMANI NI DAWA GANI ITAWAFAA HAWA VIONGOZI WANAOPENDA KUUCHAPA 'USINGIZI' WAKIWA KAZINI?...


Inasemekana MKUBWA huyu ndie kiongozi wa KUDOZI pale Mjengoni, sijui kama ni kweli jamani ila ebu chunguzeni kwanza maana mmmh...

Na nilipoona na yeye kaenda kwa 'BABU' kupata kikombe nikajua atatibu na hilo tatizo la 'KUUCHAPA' Mjengoni, nikasubiri matokeo sasa...

Heee 'MTUMEEEE' yalee yaleeee! Aaah bora 'BABU' ashtakiwe sasa maana naona Dawa yake haitibu chochote banaa...

2 comments:

Anonymous said...

Wanalipwa kupiga usingizi bungeni.

Anonymous said...

si tunawachagua mababu ambao wameshastaafu kazini ndio wanakuwa wabunge wewe unadhani tunategemea nini sasa babu kama huyo sialitakiwa acheze na wajukuu zake tu nyumbani huku anakula pensheni yake

Website counter