Sunday, August 21, 2011


Hapa nikiwa nae ANDY COLE, mshambuliaji 'Nguli' wa zamani wa MANCHESTER UNITED ya ENGLAND nilipokutana nae hivi karibuni na amenipa mwaliko wa kwenda kumtembelea kwake Mjini Manchester apa England ambako ni mwendo wa umbali wa saa 1 na nusu kwa Train kutoka hapa South London nilipo hivi sasa, so natafuta muda mwafaka ili nimtaarifu kwa 'ziara' hiyo soon...

No comments:

Website counter