Thursday, July 21, 2011

SIKIA HII MUPYAA....Nadhani wapenzi woote wa michezo Duniani tunamkumbuka sana huyu mzee mwenye AFRO ya MVI kichwani, si mwingine bali ni Promota maarufu sana kwa Ngumi za kulipwa Duniani aitwae DON KING! Sasa kama ulikuwa hujui ni kwamba ndie Promota pekee mpaka sasa anayeshikilia Record ya kuandaa pambano la ngumi na kuingiza watu wengi isivyo kawaida! Aliandaa pambano hilo katika uwanja wa AZTECA huko Mexico City na kuingiza watu 132, 274 kudaadekiii...

Nae mjukuu huyu wa mzee 'CHICHARITO' kutoka kule Mexico ndie aliyeongoza kwa Jezi yake kuuzwa 'Copy' nyingi kuliko mchezaji yoyote msimu uliopita ndani ya MAN U, upooo?

No comments:

Website counter