Thursday, July 21, 2011


Apa kiongozi wa Bendi ya Twanga Pepeta LUIZA NYONI MBUTU akiongozi Squad nzima ya unenguaji jana ndani ya ukumbi wa Club BILZ ulioko maeneo ya Town posta

SALEH KUPAZA 'mwana Tanga' akimwaga 'UNO' na mnenguaji Maria Soloma jana usiku, ilikuwa balaa...

Tweendeeee saasaaa...

Kwa hakika burudani ilikuwa 'TAKATIFU' jana, kama kawa LILY INTERNET pichani kushoto alitisha...

No comments:

Website counter