Saturday, July 30, 2011

SAFARI YANGU YA KURUDI LONDON JUZI ILIVYOKUWA...

Haya ndugu zangu hii hivi ndivyo safari yangu ya kurudi zangu London Uwingereza ambako pia nina makazi ya "KUDUMU" ilivyoanza! Hapa nikiwa ndani ya Uwanja wa wetu wa ndege wa JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT tayari kwa ukaguzi...
Yaap Ukaguzi tayari na sasa nip[o nahang hang kusubiri muda wa kuanda "PIPA" ufike...
Hayaa sasa msafara wa kuingia "PIPANI" ndio huooo umeshaanza ila mskonde Blog itaendelea na makamuzi kama kawa maana nimemuacha mwanajeshi wangu atakuwa ananipa matukioa yoote ya mjini bila chenga......
Ok ndugu zanguni BYEEEEEE maana pipa lenye ni la BRITISH AIRWAYZ ukilipanda tu breki ya kwanza ni London kwa "BECKHAM" kudaadekiii.......

No comments:

Website counter