Tuesday, July 19, 2011

HONGERENI RAFIKI ZANGU KWA KUACHANA NA UKAPERA...


Ijumaa iliyopita ilikuwa ni Chereko na Hoihoii katika sherehe ya 'SENDOFF' ya kumuaga Binti wa mwanamuziki mkongwe wa zamani MAX BUSHOKE aitwae ANGEL BUSHOKE ambaye ameolewa na kijana huyo apo unayemuona pembeni yake ambaye ni Rapa mahiri wa zamani wa Bendi ya Twanga Pepeta ambaye kwasasa amejiunga na EXTRA BONGO aitwae SAULO 'FERGUSON' ambaye ni mtunzi wa Rap maarufu ya 'SUGUA KISIGINO' katika sherehe iyo miliyofana ndani ya ukumbi wa ISTANA ulioko maeneo ya Victoria jijini Dar...

Maharusi hawa ambao wote ni rafiki zangu wakubwa tayari wamejaaliwa mtoto mmoja, na hapa 'FERGUSON' akimlisha chakula kwa mahaba mazito mkewe ANGEL...

No comments:

Website counter