Tuesday, May 31, 2011

NAWATAKA 'RADHI' WAJAMENI...

Samahani wadau na wapenzi wa KINYAIYA'S BLOG NILIKUWA NJE YA NCHI NA NDIO MAANA MKAONA KIMYA KWA MUDA ILA NIMESHARUDI NA LIBENEKE LETU LA '/BLOGU' LINAENDELEA KAMA KAWA...

3 comments:

Anonymous said...

HAYA VZURI TUNAKUKARIBISHA TENA UTUPE MAMBO MAZURI,PIA JINA LA BWANA LIBARIKIWE KWAKURUDI HOME SALAMA.

Anonymous said...

Ni nani alikuambia nje ya nchi hakuna INTENET WEYE??? AAAAAGHHH nitaacha kutizama blog yakooo mimiiiii ah.

Lakini poa tuendelee na libeneke

Bega

Anonymous said...

nakwambia nje ya nchi au nje ya mji labda ndo net hamn ha haaa, n wayz welcam back,lkn uwe unaaga basi lol.

Website counter