Monday, May 9, 2011


Nae mwandishi wa Habari mwandamizi nchini Bw. ATHUMAN HAMISI aliweza kuhudhuria Hafla ya Tuzo huzo ingawa 'AMEPOOZA' sehemu nyingi za mwili baada ya kupata Ajali mbaya ya Gari miaka miwili iliyopita mkoani Morogoro alikoenda kikazi...

Rais mstaafu 'Wajina' BEN MKAPA nae alikuwepo na alionekana 'Smart' na mwenye afya njema kabsaaa...

Mcheza NETBALL nyota nchini kutoka Timu ya JKT na Timu ya Taifa, Bi. MWANAIDI HASSAN ambaye ndie aliyeibuka Mwanamichezo Bora wa jumla wa chama cha waandishi wa Michezo nchini 'TASWA' akifanyiwa mahojiano na waandishi wa Habari mara baada ya kushinda 'TUZO' hizo juzi na kunyakuwa zawadi ya Gari aina ya TOYOTA GX100 kiulaainiiiiii kama ananawa vile daaah...

Mwanaidi hassan akipozi kwenye picha na mgeni rasmi usiku huo ambaye alikuwa ni Makamu wa Rais Dk GHALIB BILAL...

No comments:

Website counter