Friday, May 6, 2011


Mwimbaji chipukizi mahiri wa Bendi hiyo ya 'Top Band' ALAWI JUNIOR akimwaga 'UNO' la hatari lilowagawisha watu jana...

Mwimbaji mwingine mahiri wa Top Band OMMY DIMPOZ nae ni hatari sana kwenye maswala ya 'SEBENE' daah...

Yaap tukifuatilia Onesho hilo jana ndani ya Club Maisha, kuanzia kulia kwenda kushoto ni OMMY DIMPOZ, MIMI na swahiba wangu ALLY KIBA...

Baada ya kazi Kiongozi wa Top Band TID alikuja kuungana na mie kukata 'KILAJI' kwa fujo zoooteee...

No comments:

Website counter