Monday, May 16, 2011

JE 'WAYAJUA' HAYAA KUHUSU BOB MARLEY...


Nadhani wooote twamfahamu mmoja wa waasisi wa muziki wa 'REGE' duniani hayati BOB MARLEY, basi leo nakulete mambo 'matano' ambayo ulikuwa huyafahamu kuhusu yeye! 1. Jumatano ya wiki iliyopita yaani May 11 alitimiza miaka 30 kamili tangu afariki Dunia! 2. Alifariki baada ya kuugua Kansa ya Ubongo, Ini na Mapafu! 3. Bob marley tangu apate uwezo wa kumiliki Gari alimiliki Gari aina ya BMW. alichagua gari aina iyo kwakua kwake BMW ilimaanisha 'BOB MARLEY and WAILERS! 4. Mkongwe BUNNY WAILERS alikuwa ni Baba yake wa kufikia maana Mama yake Bob alizaa mtoto mmoja na Bunny Wailers! 5. Kama angekuwa hai leo basi Bob angetimiza umri wa miaka 66!

No comments:

Website counter