Thursday, May 19, 2011


Hii ndio nyumba waliyokuwa wanaishi wazazi wa Mwanasoka maarufu wa Zamani na 'FUNDI' kuliko kuliko wooote nchini Ufaransa ZINEDINE YAZID ZIDANE aka ZIZZOU! Wazazi wa Zidane Bw. ISMAEL na Bi. MALIKA waliyakimbia maisha DUNI waliokuwa akiishi ndani ya vibanda ivyo katika kijiji cha Aguemone nchini Algeria na kuelekea Paris kufanya kazi za 'MAJUMBANI'. hapo ndio utakapojua kwamba watu wengi Maarufu Duniani wameanzia mbaali sanaa tena kwenye maisha 'DUNI' sanaaa ila vipaji Vyao na kujituma KUMEWATOA!

No comments:

Website counter