Tuesday, April 12, 2011


Mcheza Filamu nguli CLOUD kulia, akipata Msosi na Pedeshee BITUS 'mzee wa Tabata'...

Kwenye 'BUFEE' hakuna kulala, kwenye kona SHAAAAA...

Yaap kwenye BUFEE kupanga foleni imo mpaka Ulaya banaa, pichani JAQ WOLPER wakiongoza msafara na nyuma mwenye miwani ni J.B aka 'Asamoh Gyan'

Mlezi wa 'WANA' mama ROLAA MASAI nae alikuwepo kwenye 'HARAMBEE' yetu na kwakweli alituchangia pesa kwenye mfuko wetu na tunashukuru sana maana nikiwa kama katibu mkuu wa BONGO MOVIE CLUB sina budi kuwashukuru wale wooote walituchangia pesa na ahadi mbalimbali na bado tunakaribisha michango yenu ili CLUB ya wasanii wa Filamuiweze kuimarika zaidi jamani...

No comments:

Website counter