Wednesday, April 20, 2011

LEO NI SIKU YA KUZALIWA 'WATAALAMU' HAWA...


Pichani kulia ni MFALME MSWATI 111 wa SWAZILAND aliyezaliwa tar 19 april 1968 uko Raleigh nchini SWAZILANDA. Ni mfalme maarufu barani Africa mwenye wake 12 hivi sasa na kila mwaka anaongeza mke mwingine kutoka kwenye 'KONGAMANO' la mabinti kibao 'MABIKRA' kama walioko apo pichani juu wanaowania kuolewa na Mfalme huyu 'FATAKI! Haya kwa wale wanampenda Mfalme huyu ni kwamba leo ndio siku yake ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY MSWATI 111.
Huyu alikuwa ni mfalme wa mabao kwenye Timu ya BARCELONA ya Spain kuanzia mwaka 1997 mpaka 2002 na alishakuwa mwanasoka Bora wa Dunia mara 2! Anaitwa VITOR BORBAFERREIRA aka 'RIVALDO', aliyezaliwa tar 19 april 1972 huko Paulista nchini BRAZIL, kwaiyo nae leo hii ni siku yake ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY RIVALDO!

No comments:

Website counter