Wednesday, April 6, 2011

LEO NI BIRTHDAY ZA HAWA 'WATAALAMU' MAARUFU DUNIANI...


Huyu ni PHARELL WILLIAMS ambaye ni Rapa na vilevile ni mtayarishaji mkubwa wa muziki na Mwanamitindo! Amezaliwa katika jimbo la Virginia beach nchini Marekani mnamo tarehe 6 April 1973, kwaiyo leo ni 'BIRTHDAY' yake 'mkubwa' PHARELL!

Huyu ni FERNANDO MORIENTES SANCHEZ, mshambuliaji 'HATARI' wa zamani wa HISPANIA aliyewika na club mbalimbali duniani kama vile Liverpool, Monaco, Valencia, Marseille na Real Madrid. Alizaliwa huko Caceres Extremadura nchini Hispania mnamo tarehe 6 april 1976, ivyo nae leo ni 'BIRTHDAY' yake! Enzi zake jamaa alikuwa ni 'Mtaalamu' sana wa kufunga Magoli ya KICHWA...

No comments:

Website counter