Friday, April 22, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Yaap nikiwa na Mshkaji wangu SAID JANGUO ambaye ni mdau maarufu wa kila 'ENGO' ya dili lolote apa mjini haa ahaaaa....

Nikiwa na 'Mdada' SHEMSA ambaye ni rafiki na 'FAN' wangu mkubwa...

Nikiwa na swahiba zangu ambao ni wana Bongo Flava, kushoto ni MATONYA na katikati ni DULLY SYKES aka 'Brotherman'

Na hapa nikiwa na wanasoka wa Mabingwa wa Soka nchi YANGA, kushoto ni winga NSA JOB na kulia ni Beki 'KISIKI' wa timu hiyo na Taifa Starz NADIR HAROUB aka 'Cannavaro'

1 comment:

Anonymous said...

Ben acha uongo,huyo mdada haitwi Shamsa anaitwa Bahati John.

Website counter