Tuesday, March 8, 2011


Mwimbaji nguli na mwenye sauti tamu EDO SANGA akiwajibika sambamba na TX JUNIOR ambaye ni mtoto wa marehemu TX MOSHI WILLIAM ambaye alikuwa mmoja kati ya waasisi wa bendi hiyo Kongwe ya MSONDO NGOMA aka Baba ya muziki, hii ilikuwa ni ndani Bonanza lao linalofanyika kila Jumapili jioni katika viwanja vya TCC club Chang'ombe jana......

Mmoja wa waasisi na kiongozi wa 'MSONDO NGOMA' mzee SAID MABELA akilikaanga 'GITAA' la solo kwa umahiri mkubwa na kuwapeleka watu mbaaali kimawazo...

Rapa machachari wa MSONDO ngoma ROMAN MGANDE aka 'Romaroi' akighani uku akimwaga 'UNO' la kufa ngedere kama sio m2 daah, ilikuwa balaaaa...

Wacheza show nao walimwaga radhi jukwaani jana kwenye Bonanza la MSONDO daah...

1 comment:

Anonymous said...

ahaa ha haaaaa......msondo ngoma ya watanzania oh lalaaaaa,walikua on one stage na extra bongo nini?maana naona wadada wana flana za extra bongo au msondo walikua wakiipromote bendi ya kijana wao choki

Website counter