Thursday, March 31, 2011

MAKAMUZI YA TWANGA PEPETA USIKU WA KUAMKIA LEO ALHAMIC NDANI YA CLUB BILICANAZ...


Nikiwa na 'PACHA' ndani Bilicanaz usiku wa kuamkia leo ambako Bendi ya TWANGA PEPETA ilikuwa ikikamua kwa sanaa kama kawa...
Kiongozi wa Bendi hiyo mamaa LUIZA MBUTU akiliongoza Jahazi kwenye makamuzi, na kwakweli huyu Dada anawajibika bwana daah na ni kiongozi wa kweli na wanamuziki wooote wanamuheshimu sanaaa! Yaaap 'kamata mwizi' meeen...

No comments:

Website counter