Thursday, March 10, 2011

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Nikiwa na kiungo wa timu ya SIMBA ya jjini Dar MOHAMED BANKA ambaye kwenye mechi ya juzi na YANGA hakucheza kutokana na kuwa majeruhi, alikuja KINYAIYA'z PUB kinondoni kunitembelea jana jioni...

Aaah yaani jana usiku kwenye mechi ya AC MILAN na TOTTENHAM pale kwenye 'dimba' la kati nilimkumbuka huyu Nahodha wa AC MILAN bwana GENARO GATTUSO aka 'JESUS'

Nikiwa na BEJOUX KALLSON, swahiba wangu wa Norway tulipokutana juzi kati...

Nikiwa na rafiki zangu wa SWEDEN ambao walikuwepo Dar kabla ya kuondoka hivi karibuni, kushoto ni kiungo wa zamani wa YANGA ya jijini CREDO MWAIPOPO, LINDA na kulia ni mshambuliaji wa zamani wa SIMBA ya jijini OTHMAN MACHUPA ambao woote wameshaondoka kurejea Sweden wanapoishi......

No comments:

Website counter