Sunday, February 20, 2011

SHOW YA 'WAZEE WA NGWASUMA' ILIVYOKUWA JANA...


Haya ni 'MACHEJO' makubwa ya wanenguaji wakali wa Bendi ya FM ACADEMIA 'wazee wa ngwasuma' jana ndani ya Makumbusho Kijitonyama, na kulia ni mnenguaji mkongwe wa Bendi hiyo AALIAH...

Hapa kushoto anaonekana Rapa mkali wa Bendi hiyo TOTOO KALALA 'akighani' kuwachezesha wanenguaji wa Bendi yake...

Weweee ilikuwa Hatwaariii nakwambia...

No comments:

Website counter