Saturday, February 5, 2011

SAFARI YANGU BAGAMOYO ILIVYOKUWA JANA...


Jana nilienda mjini BAGAMOYO kikazi na kwakweli nimeamini ule ni nji wa Kihistoria jamani, kwa wale ambao hawajaiona vizuri 'BWAGAMOYO' basi watembeleemaana nina uhakika watafurahi na nafsi zao...

1 comment:

Anonymous said...

ss wenyewe tunaiita BAGA-HEART waambiae yaani ukifika huku utarudi tena na tena au utahamia kabsaaaa.

Website counter