Sunday, February 20, 2011

MJUE MWANAMKE 'KIBOPA' WA DUNIA HII...


Huyu Mwanamama anaitwa CHRISTY WALTON aliezaliwa mwaka 1955 ambaye kwasasa ni mmiliki wa kampuni ya WAL - MAT, Ni mjane wa Mr JOHN T. WALTON na ndie 'MWANAMKE' tajiri kuliko wooote duniani. Utajiri wake unakadiriwa kufikia Paund 15.7 Bilioni .anaishi katika mji wa Wyoming nchini Marekani na ana mtoto mmoja aitwae LUKAS!

No comments:

Website counter