Wednesday, February 16, 2011

HII NDIO USWAZI 'ORIGINO' ILA...


Kama ulikuwa hujui uswazi haswa ikoje basi ndio hii, na sio umebahatika kwenda Ughaibuni ukapata Visenti vyako tuwili tutatu basi na 'USWAZI' kwenu ukapasahau kiasi kwamba ukija Likizo eti unajifanya kufikia 'Hotel, kisa umekalia matanuzi ya kunywa, Mademu na kuvaa but kwenu Uswazi hutaki kuparekebisha! na watu wa aina hiyo nawajua sana na tena huwa nikikutana na nyinyi kwenye izo 'Part' zenu Ulaya alafu nikaziona izo sifa zenu 'mnazomwaga' wakati makwenu uku Bongo napajua fika pako 'Hoi' na hata wengine wazazi wenu mmewasahau kwa ulimbukeni wenu, 'SHAME ON U GUYZ', mnajijua wenyewe na kwangu mimi nasema 'MSG SENT!

3 comments:

Anonymous said...

Ben sio uugwana kuwapiga mafumbo,waambie kama rafiki zako maana watu wana mambo mengi usije kuta wamejisahau.Wakumbushe ndio jambo la busara.Ubarikiwe

Anonymous said...

kwakweli ben hapo umesema ukweli mtuupu nimefurahi saana kuona umeandika msg hii iwaguse watu waiana hiyo haswa wabongo wengi wako nje wanasahau wazazi wao na nyumbani kwao ujumla pia ukiona nyumba walikotoka ni choka mbaya ila wakiwa huku ulaya ni kujisifu adi wanaboa umenifurahisha saana ben endelea kutoa msg kama hizi mara kwamara watanzania tubadili tabia zetu watu waache kujirusha kila starehe mtu akosi huko nyumbani kwao amesahau wazazi wake na familia kwaujumla washenzi kabisa tena hawafai wakija home wanafikia hotel aibu tuupu mtanitaapisha saana watu waina hiyo,pia nawapongeza saana watu wanaojali nyumbani na wanajiendeleza kujenga nyumbani namafanikio kwa ujumla Mungu awabariki saaana,ulaya au ughaibunisio mahali mpastarehe kama wanavyofikiria nipakutafuta maisha then unajenga home,be blessed Ben my brother .endelea kutoa ukweli .

Anonymous said...

Safi sana Benn umetupa vidonge vyetu, eti ukitoka Ulaya ndo kwanza unabadili mke na kuanza kutanua na Machangudoa. Tabia hii ni ushamba na ni ulimbukeni.

Website counter