Tumeshazoea kuona mabeki wakicheza 'RAFU' kila mara na kupewa kadi kibao iwe njano au nyekundu kwenye 'Video' zetu ila kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui ni kwamba beki RIO FERDINAND wa MANCHESTER UNITED ndie beki mstaarabu zaidi katika Ligi nzima ya Uwingereza! Alicheza rafu ya kwanza msimu huu dhidi ya WEST BROMWICH jumamosi iliyopita na mara ya mwisho yeye kucheza Rafu ilikuwa ni mwezi APRIL mwaka jana kwenye mechi dhidi ya BLACKBURN, upo apooo...
1 comment:
kaka unatumia aina gani la camera au ni setting coz izo picha viduchu kama passport size bana mtu unakosa laha ata ya kuingia kwenye blog yako fanya mabadiliko bana we m2 mkubwa vip kaka
Post a Comment