www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Thursday, January 6, 2011
BERRY BLACK AENDELEZA KUFANYA MAKAMUZI UGHAIBUNI...
Haya haya 'wataalamu' wa Starehe nchini Norway, kijana BERRY BLACK anakuja kuwapagawisha na kuwanyanyua vitini, kaani mkao wa kula na kujiandaa kwenda kumuona bila kukosaa...
No comments:
Post a Comment