Thursday, December 9, 2010

ZAMARADI MKETEMA UMEMUONA 'PACHA' WAKO APO CHINI...


Huyu binti anaitwa ZAMARADI MKETEMA ambaye ni mtangazaji wa Clouds TV ya hapa jijini Dar. Nakumbuka ivi karibuni nilipoenda Mvomero Morogoro kwenye shughuli zangu nilikutana na Binti mmoja jina nimelisahau anafanana saana naweza kusema kwa asilimia 90 na huyu Zamaradi apo juu tena kwa kilakitu kuanzia Sura,Umbo, Rangi, Cheka yao, Kuongea na mengineyo kibao ila labda tofauti yao pengine ni hali ya 'kimaisha' inayowazunguka, nadhani nikisema ivyo mtakuwa mmenielewa! Je ZAMARADI wajua kwamba Duniani ni wawili wawili....

Hii ndio 'Copy' ya ZAMARADI ambayo ipo kule Mvomero mkoani Morogoro...

4 comments:

Anonymous said...

Kinyaiya lazima unatatizo la macho na umakini wa kuangalia.

Anonymous said...

Hapana jamani wanafanana sana, sema zamaradi picha inaonekana kwa mbali

Anonymous said...

Hana TATIZO LA MACHO KWA KWELI WAMEFANANA JAMAN MIE NILIFIKIRI NI PICHA YA MTU MMOJA KUMBE WAWILI TOFAUTI SEMA ZAMARADI SOAP SOAP NYINGI NDIO MAANA KUNA KAUTOFAUTI KIDOGO

Anonymous said...

kweli kabisa zamaradi bila soap soap yupo kama huyo dadaambaye hana matunzo...zama nae soap soap na mavazi yanambeba lakini...mmh!ngumu kumeza

Website counter