Tuesday, December 21, 2010

ONESHO LA MWISHO LA TWANGA PEPETA KABLA YA KUPATA MSIBA...


Nikiwa na mkuregenzi wa Twanga Pepeta ASHA BARAKA na kulia ni mwandisgi wa habari KHADIJA KALILI na kati ni MUSA MATEJA wa Globa Publishers tukufuatilia midundo ya Twanga ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni wiki iliyopita kabla ya kupata msiba mzito wa Mwanamuziki wake Mkongwe na Katibu wa Bendi iyo ABOU SEMHANDO...

Kwangu mimi ni mpiga Solo namba one kwasasa, anaitwa SHAKASHIA aka 'SHAKAZULU'...

Papaa MUCHICHA na mamaa TINA nao walikuwepo lol...

Seneta wa Twanga FREDITO MOPAO 'mwana Tarime' akicheeeekaaa na kushoto ni Meneja wa Twanga MAETIN SOSPETER akipanga mipango kwenye simu ...

'Mnazi' wa Twanga Bi AMNE nae aliwepo...

No comments:

Website counter