Tuesday, December 21, 2010


Huyu ndie Rapa 'mkorofi' kundini MSAFIRI DIOUF mwana Mombasa...

Na huyu ndie SAULO FERGUSON ambaye kwasasa ni rapa wa kutumainiwa wa Twanga Pepeta na ndie mtunzi wa zile rap za 'Sugua kisigino' na 'Wachina, Wajapani na Wakorea wote wana sura moja ee eeeh'...

Ukisikiaga 'Proffesionale Keyboady' VICTOR MKAMBI basi ndie huyu...

Jembe 'lisilovuma' SALEH KUPAZA mwana Tanga anawakilisha...

Huyu ndie yule dogo JAMES KIBOSHO! nathubutu kusema 'Melody' nzima ya Twanga ameibadilisha uyu dogo na ndie mpiga Drum pekee wa Twanga aliyebaki hivi sasa baada ya 'Mkongwe' ABOU SEMHANDO kufariki na kuzikwa jana kijijini kwake Muheza mkoani Tanga!

No comments:

Website counter