Sunday, December 5, 2010

LEO KATIKA HISTORIA...Huyu bwna anautwa PETER SHILTON, ni mmoja kati ya makipa bora kabisa kupata kutokea katika Dunia hii tunayoishi. Hapo juu ni jinsi alivyo sasa maana umri umesonga! Ni mwingereza wa kuzaliwa na kukulia na ndie mwingereza pekee aliyeichezea mechi nyingi timu yake ya Taifa kuliko mwanasoka yoyote mpaka sasa akiwa ameshaichezea timu hiyo mechi 1005 katika ngazi mbalimbali, na rekodi hiyo mpaka leo HAIJAVUNJWA, upo apooo....

No comments:

Website counter