Wednesday, December 29, 2010

JIACHIE NA BEN KINYAIYA....


Naam hapa nikiwa na mwanamuziki Mkongwe wa Congo BOZI BOZIANA wakati alipokuja kuhudhuria kipindi chetu cha 'BEN na MAI' LIVE...

Bendi ya Twanga Pepeta imemaliza kufanya Video ya nyimbo zake za album mpya na hapa Rapa wa bendi hiyo MSAFIRI DIOF akitweta kifua wazi nje ya PUB maarufu jijini ya KINYAIYA PUB wakati akitoka kumalizia kufanya vipande vyae vya Clip iyo, kulia ni mpiga solo mkongwe na mwanzilishi wa Twanga Pepeta ADOLPH MBINGA...

Huyu ni mwalimu wangu wa zamani wa 'KARATE' aitwae Sensei RINGO RWEZAURA ambaye tulipoteana kwa miezi kadhaa ila juzi nilifurahi kumuona tena na bado anaendeleza 'DOJO' lake pale Russian culture Upanga kama kawa, kwaiyo wale wanaoniona mie 'BITOZ' kimuonekano kaeni chonjo 'MTAUMIA' jamani maana sipigiki kirahisi NG'OOOOOOO na kama hamuamini nendeni pale Mlimani city mkauliza habari zangu kwa wale 'Masoja' nilichowafanya siku Gari yangu ilipokwanguliwa...

Nikiwa na Pedeshee TOMAA 'DIAMAA'...

No comments:

Website counter