Sunday, December 5, 2010

HATIMAYE DK ARUHUSIWA KURUDI HOME...

Kwangu mimi ni mmoja kati ya watu ambao tungo zao haziwezi kuchuja kamwe hata baada ya miaka 100!Sasa jani Dk REMMY ONGALLA alikuwa Hospital ya Muhimbila ila amerehusiwa kurudi nyumbani ingawa hali yake ni 'tia maji tia maji' akisumbuliwaa ana Figo na kusababisha 'Tumbo' lake kaukujaa maji, Anaomba msaada wenu wa hali na mali jamni tumwokoe mkongwe huyu...

No comments:

Website counter