Wednesday, November 10, 2010

MAMBO YA WAZEE WA NGWASUMA NDANI YA SAN SIRO SINZA JIJINI DAR JUMATANO ILIYOPITA


Wanenguaji wakali wa FM ACADEMIA Wazee wa ngwasuma, TITIH FATMA kulia MWANTUMU wakiwajibika ndani ya ukumbi wa SANSIRO SINZA wiki iliyopita...

King BLAISE kushoto akimwagika na Kiongozi wa Bendi hiyo NYOSH EL SAADAT kulia....

Apa na ikiwa na King BLAISE na NYOSH EL SAADAT...

Ilikuwa hatwariii nakwambia...

No comments:

Website counter