Tuesday, November 9, 2010

JE WEWE ULISHAPITIA KWENYE 'KIBASKELI' HIKI AU...


Kutokana na mambo ya 'Sayansi na teke linalokujia' kwenye dunia hii ya sasa ukizingatia nimeshapita kwenye mitaa mingi ya hapa Town na kuwaangalia watoto wengi 2 lakini 'Baby walker' hii ya mbao iliyokuwa inatumika tangu enzi zetu sikuhizi sizioni kabsaaaaa! Pengine ni kutokana na dunia kuwa ya 'Kisayansi' zaidi kwasasa ila 'kibaskeli' hiki kilisaidia sana kuwafanya watoto wa enzi zile wawe wanjanja wa kuwahi kutembea wenyewe mpaka kuongea maana mtoto wa enzi zile akitumia 'kibaskeli' hiki lazma ataanguka na kutoka 'manundu' kibao ila akishakizoea basi mtoto wako atakuwa na 'amekomaa' na kuwa mbunifu mkubwa kwenye mambo mbalimbali, sasa nakuuliza je wewe unayesoma habari hii ulishakipitia 'Kibaskeli' hiki au...

No comments:

Website counter