www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Wednesday, November 24, 2010
JAMANI MSIONE KIMYA....
Jamani wadau wangu nimesafiri kidogo nje ya mji ila kesho ntarudi tena mjini 'kuwamwagia' mautamu yangu yaleyake mliyoyazoea kuyaina an kuyasoma, Stay tune...
2 comments:
Poa Boss
hiyo kesho mbona imeshapita jamani???????????????
Post a Comment