Monday, November 8, 2010

AMA KWELI MTOTO UMLEAVYO NDIO AKUAVYO...


Daah ebu angalia huyu mtoto alivyokipinda icho kiuno chake, yaani inaonyesha hayo mambo amezoea kuyaona kilasiku kwahiyo hakuna kushangaa apo, ama kweli tunakoelekea ni kubaya sasa maana ukitaka kujua utamaduni wetu Umekufa tembea sehemu zote sikuizi huwezi kukuta watoto eti wanacheza KOMBOLELA, MDAKO, KURUKA KAMBA, KUTENGENEZA MAGARI ya mabati, sasa apo mtoto atajengwa vipi kiakili na kitamaduni kama enzi zetu sie jamani......

2 comments:

Anonymous said...

hii kali nimeipenda

Anonymous said...

lakini si unaliona dada linavyovutia, huku mtoni tunaliita organic

Website counter