Sunday, October 31, 2010

TUAMKE MAPEMAA TUKAPIGE KURA ZETU JAMANI...


Jana katika pitapita yangu mtaani nikawasikia watu flani wakisema oooh aaah mie sitaenda kupiga kura maana kutakuwa na Foleni sanaa kwenye vituo vya kupigia kura! Yaani huo ni utovu mkubwa wa nidhani wa kutokujua haki yako kama mwananchi wa NJI HII... sasa tujiulize mbona 'mchonga' Mw NYERERE alipanga Foleni apo juu kwenye mambo kama hayo, iweje wewe banaa! Acheni ujinga huo potofu, twendeni tukatimize wajibu wetu mapema asubuhi hii ya Jumapili banaa au hujui pengine unaweza usipige tena kura mwaka 2015 maana unaweza usifike kama 'mungu' akiamua kukuchukua? Ooooh ebu nenda weweee...

No comments:

Website counter