Wednesday, October 13, 2010

MAVITUZ YA TWANGA PEPETA JUZI...


Mnenguaji Gwiji AISHA MADINDA akiwaongoza wenzake kulishambulia jukwaa la Twanga Pepeta juzi, ilikuwa ni balaaaaaa...

Rapa maarufu wa Bendi hiyo SAULO JOHN 'FERGUSON' akionyesha umahiri wa kurap na kucheza na Mnenguaji mkali MARIA SOLOMA....

Pedeshee flani ivi akimtunza Rapa mahiri wa Bendi hiyo KHALID CHUMA 'chokoraa' baada ya kukubali vitu vyake jukwaani...

Mpiga Solo mkali kwasasa ndani ya Bendi hiyo aitwae ALAIN KISU 'mondele' akinogesha sebene na kufanya watu wapagawe juzi, ilikuwa hatwariii...

No comments:

Website counter