Wednesday, October 13, 2010

HATIMAYE MWANAMUZIKI NGULI SALIF KEITA WA MALI ATUA NCHINI KWA ONESHO MOJA 'LIVE' LEO JIJINI...


Sikuzote huwa naupenda music wa huyu jamaa SALIF KEITA, mwanamuziki nguli barani Africa kutoka BAMAKO MALI. Ni mwanamuziki tajiri mwenye Ulemavu wa ngozi yaani Albino, ambaye ameanzisha pia mfuko wa kuwasaidia Albino nchini mwake na sikuzote kila anapofanya Onesho lake lazma ahakikishe asilimia 20 ya mapato yake anawachangia Albino wenye shida kwani nae anasema anakumbuka matatizo aliyoyapata wakati akiwa mdogo kabla ya maisha yake kutengemaa! Sasa leo JUMATANO tunae 'live' ndani ya Hotel ya KEMPISKY kwa Onesho moja pekee kuanzia saa 2 usiku!

Naupenda saanaaaa wimbo wake maarufu uitwao 'Africa', yaani jamaa anaimba huyu na ndio maana akaitwa 'Golden Voice of Africa', twendeni tukamuone leo usiku jamani...

No comments:

Website counter