Friday, October 29, 2010

KWENYE MISHEMISHE ZA TOWN...


Apa nikiwa na rafiki zangu, kulia ni DJ BULLA 'jamani Buulaah' kutoka Clouds FM, na katikati ni PETIT MAN...

Nikiongozana na rafiki yangu, Mbunge wa Kinondoni Mh IDDI AZAN, mwenye shati la Draft! Si unajua kampeni ndio lala salamu so hakuna kuzubaa mjini...

Nikipoouuz na swahiba wangu EPHRAHIM KIBONDE kutoka 'JAHAZI' Clouds FM...

Hawa ni wadogo zangu wa Hiyari, katikati ni ALAWI JUNIOR na kulia ni TX JUNIOR...

No comments:

Website counter